Old money wakiona tumeanza kupata pesa ya kununua sahani za kaulo kama zao,wanapotea wanaanza kukulia sahani za mbao. Tukijikaza tena tufike bei ya Nike,wanahepa wanaenda new balance. Wakiona Tume afford apartments,wanaanza kujenga offgrid
Buana What is wrong with these pipos