Tetesi kutoka DR Congo: FIFA imeiamuru Simba SC imlipe Doxa Gikanji Tsh 110m baada ya kuvunja mkataba nae. Simba SC ilimsajili Gikanji Jan 2021 lakini wakashindwa kumsajili dirisha la CAF. Aug 2021 Simba ikaamua kuvunja nae mkataba, akaenda fifa
Jana Wachezaji wametuangusha snaa tulikubaliana kuwa tufungwe ili Ole atimuliwe ....sasa ile comeback imekuaje......Nisiwe mnafiki kindi cha kwanza nilikuwa na furaha Sanaa
Yote ayo mnayo sema kuwa TFF mbovu ,Selikari imeingilia mpira yoteayo mpo sawa lakini swali.
Why game Yanga na Azam pamoja Yanga na Biashara Mara ambazo nazo zilisogezwa mbele masaa mawili zilichezwa ila hii ya leo imeshindikana kuchezwa?
Kwamba kanuni ndommejua imevunjika jana
Msimamo wa Kundi A
Simba ametuma meseji Afrika. Mechi 5 kashinda mechi 4 na sare 1, karuhusu goli 1, kapata clean sheets 4 na bado ni kinara wa kundi hata akipoteza mechi ya mwisho.
#KitengeTVUpdates