No, this video is not authentic. It's a TikTok-edited compilation mixing out-of-context clips with likely AI-generated or fabricated scenes (e.g., the red figure kick).
Lionel Messi has one of football's cleanest records — just 3-4 red cards across 1,000+ games — and is widely respected for sportsmanship. This is typical troll content designed to mislead.
Amkeniii! Kuna lobby group nyingine Farrant group inaripotiwa kuwa inalipwa kodi zetu kumsafisha Mwuaji Mkuu Samia Suluhu na genge lake!
Wanapoteza pesa zetu bure maana mauaji halaiki hayafichiki! Utetezi wao ni wa kipumbavu na inatia wafadhili kichefuchefu
Sasa mmemwaga ma dollar na euros kujisafisha - hazina imekauka hadi watumishi wa umma mmeshindwa kuwalipa mishahara, wakandarasi wamekwama! Hali tete! Kisa Bi Kizimkazi awe rais! Really!?
Ndo maana nawaambia #SamiaMustGo hakuna namna - damu za ndugu zetu hazitatulia zinadai HAKI!
Na nyie wazalendo ndani ya mfumo endeleeni kuangalia tu - nchi ita collapse hii! Ohoo!
#TutaelewanaTu
Nchi imekuwa ya ajabu sana!
Nilipewa taarifa jana mtu alipelekwa hospitali amepigwa risasi ya kifua akaachwa hapo
Kwa taarifa niliyopata amepelekwa Mwananyamala!
Serikali haramu inashirikiana na wahalifu inakuza uhalifu kila kona!
Nikisema #SamiaMustGo mnielewe!
#Tanzania is now a lawless country - a person was taken with a chest gun shot wound and abandoned at a hospital in Dar es Salaam- no update from police!
Such incidents indicate that the level of impunity is so high that even petty criminals can get away with murder!
‼️🚨BREAKING NEWS‼️
Amkeeni Watanzania ✊🏽
Kamati za mambo ya nje na ya maendeleo wamepiga kura na kupitisha azimio la kuitaka tume ya Umoja wa Ulaya (EU commission) isitishe msaada kwa serikali ya Tanzania
Kamati zimepitisha kwa kura za ndiyo 81, kura moja ya hapana na kura 4 kuharibika (hawakupiga kura)
Niliwaambia TUMESHINDA! Huwezi kuua maelfu alafu ukaendelea kutawala
Mungu wetu ni mwema!
Sasa azimio linaenda kupigiwa kura na Bunge zima la Ulaya - ikipita BHAS!
Wajiandae washenzi wauaji!
Foreign affairs and Development committees at the European Parliament have voted on asking the EU Commission to withdraw Annual Action programme (development assistance) for Tanzania
Voting results: 81 in favour 1 against 4 abstentions
Thank you @davidmcallister and @Europarl_EN 🙏🏽
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu
Mwanahabari wa Nigeria Atengeneza Filamu Kuhusu Vurugu za Uchaguzi Tanzania
Mwanahabari mchunguzi kutoka Nigeria, @DavidHundeyin, ametangaza kutengeneza filamu maalum ya uchunguzi kuhusu vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025.
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na Graphic Online, filamu hiyo inaitwa What Happened on October 29? na inalenga kueleza kile mwandishi huyo anachodai kuwa ni ukweli uliojificha nyuma ya matukio ya vurugu yaliyotikisa Tanzania baada ya uchaguzi huo.
Hundeyin alisema amefanya uchunguzi wa muda mrefu uliodumu kwa miezi kadhaa, ukihusisha mahojiano na mashahidi, uchambuzi wa taarifa mbalimbali za vyombo vya habari pamoja na kupitia ripoti ya tume ya uchunguzi iliyoongozwa na Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman.
Akizungumza kuhusu filamu hiyo, Hundeyin alisema:
“Kilichotokea Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025 si kile ambacho dunia iliambiwa.”
Alidai kuwa simulizi nyingi zilizosambazwa kimataifa kuhusu vurugu hizo hazikuonesha picha kamili ya tukio hilo. Kwa mujibu wake, vurugu hizo zilikuwa zimepangwa na kuratibiwa mapema, zikihusisha watu wa ndani pamoja na nguvu kutoka nje ya nchi.
“Filamu hii ni jaribio la kuwasilisha mtazamo wa Kiafrika kuhusu simulizi la Kiafrika,” alisema Hundeyin.
Kupitia ukurasa wake wa X (Twitter), Hundeyin pia alitangaza ratiba ya uzinduzi wa filamu hiyo katika miji mbalimbali barani Afrika kabla ya kutolewa rasmi mtandaoni.
Katika ujumbe wake aliandika:
“Filamu hiyo itaanza kuonyeshwa rasmi Mei 26 mjini Accra, Mei 29 mjini Dar es Salaam na Mei 31 mjini Nairobi kabla ya kutolewa rasmi duniani kupitia YouTube Juni 1.”
Hata hivyo, matukio ya uchaguzi wa Tanzania wa 2025 bado yanaendelea kuzua mjadala mkubwa kimataifa. Wakati baadhi ya ripoti zilidai kuwa kulikuwa na matumizi makubwa ya nguvu dhidi ya waandamanaji na ukiukwaji wa haki za binadamu, upande mwingine ulidai kuwa baadhi ya taarifa na picha zilizosambazwa mtandaoni zilikuwa za kupotosha au zilizotengenezwa kwa teknolojia ya AI.
Ila majirani Kenya 🇰🇪 wana maamuzi magumu na ya pamoja - sijawahi kuona
Leo ukitoa gari barabarani utakiona 😓 utake usitake unajikuta umegoma na wenzako
Sijui 🇹🇿 tunafeli wapi kukosa umoja! Tumeimbiwa amani na utulivu hadi tumelegea?
I’ve legit seen a wife who hasn’t had sex with her husband in 5 years be genuinely shocked and crushed that he’s having an affair. This level of cognitive dissonance is bugged out to me 🤣
Mzee Warioba alipoongea juzi kuwa October 29 tume ndio ilipiga kura hakukosea na ushahidi huu hapa.
Nilishaposti hizi video instagram baada ya mauaji ya October 29.
Embu cheki, kipindi nchi nzima iko kwenye darkness Tume ya uchaguzi na CCM ndio walikuwa wanafanya kazi hii.
Uchaguzi wa Octover 29 2025 ni null and void. Hatuutambui.
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.”
— Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.