Anawatoto 15 Si wa kike wala wa kiume wote wanashiriki katika uzalisha Shambani na wote wanauwezo kulima kwa Ng’ombe.Angalia simulizi ya mzee huyu katika comment
KIKAO KAZI CHA MAAFISA MAENDELEO YA VIJANA: KUWEKA MSINGI MPYA WA MUSTAKABALI WA VIJANA TANZANIA
Katika kipindi ambacho dunia inashuhudia mabadiliko makubwa ya kijamii, kiuchumi na kiteknolojia, vijana wameendelea kuwa kundi lenye nguvu kubwa lakini pia lenye changamoto nyingi. Kwa kutambua umuhimu huo, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana imeandaa Kikao Kazi cha Maafisa Maendeleo ya Vijana wa Mikoa na Halmashauri, kinachofanyika tarehe 17–18 Disemba 2025 katika Ukumbi wa Kambarage, Treasury Square.Dodoma
Kikao hiki kimewakutanisha Maafisa Maendeleo ya Vijana kutoka ngazi mbalimbali kwa lengo la kutafakari kwa kina hali ya vijana nchini, nafasi zao katika maendeleo ya taifa, changamoto wanazokutana nazo pamoja na hatua za kimkakati zinazopaswa kuchukuliwa.
🤔🤔🤔
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Urusi Mhe. Vladimir Putin uliowasilishwa kwake na Mhe. Sergei Kiriyenko, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 06 Novemba, 2025.
👇👇👇
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye, Rais wa Msumbiji Daniel Chapo pamoja na Rais wa Somalia Mhe. Hassan Sheikh Mohamud, Ikulu Chamwino
@sisiniTanzania Tuna haki na wajibu wa kujivunia Tanzania kuwa Nyumbani,. Ni nyumba iliyo barikiwa ka baraka tele ya Amani, Upendo na Mshikamano Hakika Tuipende Nyumba yetu Tanzamia.
#sisiniTanzania