@VodacomTanzania Nimelipa hela kwa lipa namba iliyo potea mwenye lipa namba kasema nirudishe mwamala Sasa Kila nikirudisha naambiwa ni kwa wateja wa Vodacom tu nasaidikaje na ile namba ya huduma kwa wateja haipatikani
@VodacomTanzania nimelipia hela kwa lipa namba kumbe mwenye lipa namba alisha poteza laini ameniambia nirudishe mwamala Sasa namba ya huduma kwa wateja haipatikani na mwamala nikirudisha naambiwa ni kwa wateja wa Vodacom tu nasaidikaje
@INFLUENCERjr Hii mifumo ya ukoloni inatutesa sana zamani nakumbuka madarsa yalikuwa machache tukawa tunapokezana wengine wanaingia mchana na wengine asubuhi na tulifaulu fresh tu Sasa Kuna ugumu gani kubadilisha ratiba shule zote wawe wanaenda saa tano asubuhi
@Rule_Bwenga@millardayo Kwani kocha ana kazi gani mpaka magungu apige kelele toka jukwani si kocha yupo ndiyo mwenye kwambia wachezaji Sasa rudini nyuma mlinde goli na mbona magungu tu viongozi wengine si walikuwepo mbona hawakuguswa