Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye mazungumzo na Mhe. Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia, pembezoni mwa Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), Addis Ababa, Ethiopia, tarehe 23 Novemba, 2026.
Kesho ya Afrika inategemea afya bora na ustawi wa watu wake. Nikiwa nchini Ethiopia, nimeungana na viongozi na wadau mbalimbali katika Mkutano wa Tano wa Kimataifa wa Afya ya Umma Barani Afrika (CPHIA 2026), ambako tumezindua Mpango Elekezi wa Kuboresha Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika.
Mpango huo unalenga kufikia malengo ya Sifuri Tatu ifikapo mwaka 2030: kuhakikisha wajawazito wote wanajifungulia katika vituo vya afya, kutokomeza vifo vya uzazi na kuhakikisha kila mtoto anapata chanjo. Mafanikio yake yanahitaji ushiriki wa Serikali, sekta binafsi na wananchi wote kupitia kaulimbiu yetu, “Jiongeze Tuwavushe Salama.”
Nikiwa Kinara wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, ninawapongeza viongozi na wadau wote kwa juhudi zinazofanyika na kuwasihi kuendeleza ushirikiano ili kufanikisha malengo ya Sifuri Tatu ifikapo mwaka 2030.
Tanzania's Cost of Living Has Risen 45% Since 2016. Have Incomes Kept Up?
Petrol now costs more than TZS 4,000 per litre across Tanzania, while the prices of rice, beef, cooking oil and other household essentials have increased substantially over the past decade. Official statistics also show higher earnings among formal sector workers, expanded access to electricity and a modest reduction in poverty.
A comparison of prices, wages and household welfare between 2016 and 2026 reveals an economy that has developed considerably, although the financial benefits have not reached Tanzanians equally
https://t.co/YmuX0SxhPf
NEW: FBI warns AI-powered hacking tool ARTEX is allowing cybercriminals to breach company systems in under 3 hours, putting sensitive personal information at risk, Fox News reports
See, the secret about Tanzania is, they really work hard in Chinese, English, Russian, Indian, French etc, while talking Swahili
Results are everywhere to see for anyone with eyes
Tanzania works the talk!
The 2026–2030 AU Champion's Roadmap is an important opportunity for Africa to act collectively. President Samia's responsibility is to mobilise political commitment and encourage Member States to make maternal and child #SamiaAfricaChampion#MaternalAndChildHealth
The fight against preventable maternal deaths needs leaders who can mobilise action. President Samia's AU mandate provides an opportunity to bring governments together, monitor commitments and push for practical improvements in healthcare delivery. #SamiaLeadsAfrica
#MaternalAndChildHealth
[ON AIR] Ethiopia is taking further steps to open up its banking sector to foreign investment.
@peterndoro speaks to market analyst Mered Fikireyohannes about a draft directive that could allow foreign banks to own up to 100% of existing commercial banks.
#RiseAndShine#Market #Ethopia
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, akisalimiana na viongozi mbalimbali baada ya kuwasili katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha, tarehe 21 Novemba, 2026, kwa ajili ya kuwatunuku Kamisheni..
📌Mkutano wa UN kuhusu usalama wa AI kufanyika Barbados, Novemba 23
📌Guterres na Waziri Mkuu Mia Mottley wataongoza
📌 Viongozi 135 wameeleza wasiwasi kuhusu hatari za AI
📌Nchi maskini zina timu 6 tu za kukabili dharura za kidijitali, wakati tajiri 500
https://t.co/5uINvB9UjP
Tunakubalina kuwa Chimbo la Vijana Brunch ni bata lenye faida kwa vijana.
Si wewe mwenyewe unaona jinsi vijana wa Geita wameitikia fursa za chimbo la vijana kwa wingi mno hapa viwanja vya CCM Katoro, Geita.
Taifa salama hujengwa kwa uwekezaji katika watu, mafunzo, teknolojia na taasisi imara Kutunukiwa Kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa TMA ni sehemu ya matunda ya juhudi za kuimarisha uwezo wa Taifa katika ulinzi. Hongera Mhe Dkt. Samia kwa kuendelea kuweka kipaumbele katika usalama
An informative article
In determining the odds I tried factoring in some factors i believe may favour the Tz connection.
1 Technical advantage/supremacy of the Tz SGR.
a)Speed, freight top speed of 120km/h vs 80km/h
https://t.co/TyGUdI8stM
Food security begins long before the harvest.
It starts with investment in agriculture, fertiliser production, logistics and the industries that support farmers across the continent.
Supporting agriculture is investing in Africa's future.
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki katika matukio mbalimbali wakati wa hafla ya kuwatunuku Kamisheni, Maafisa Wanafunzi kundi la 07/23- Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 73/25- Regular pamoja na Mahafali ya saba ya Shahada ya Sayansi ya Kijeshi kwa kundi la 07/23.
What would Tanzania look like if per-capita income reached $7,000 by 2050? Would farmers earn more from their produce, young people find better-paying jobs and small businesses gain easier access to finance and bigger markets?
https://t.co/ByYysBUS1C
Shirikisho la soka barani Afrika, CAF, limetangaza kuwa Vyama vyote 54 vya soka barani humo vimekubaliana kumuunga mkono Gianni Infantino katika Uchaguzi ujao wa Urais wa Shirikisho la soka Duniani, FIFA.
Rais wa CAF, Patrice Motsepe, ametangaza msimamo huo wakati wa Mkutano Mkuu wa 48 wa CAF uliofanyika mjini Abuja, Nigeria.
Amesema vyama vyote vya soka barani Afrika vimewasilisha nyaraka rasmi za kuthibitisha uungwaji mkono wao kwa Infantino.
Uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Machi 18 mwaka 2027 mjini Rabat, nchini Morocco.
Gianni Infantino, aliyechaguliwa kwa mara ya kwanza kuongoza FIFA mwaka 2016, anawania muhula wa nne katika Uongozi wa chombo hicho kinachosimamia soka duniani.
#KitengeSports
#AlAnsari wins first place in Financial Services at the Emirates Labour Market Award — its fourth consecutive year of recognition. CEO Ali Al Najjar also takes second in the Influential Leaders category. The group…
#UAE#Emiratisation#Gulf#Economy
https://t.co/LYCzThD3lk
@babalao__ Hii ndiyo Tanzania tunayoijua, kuandaa mabingwa wa kijeshi wa Afrika. Tunawapokea vijana wa nchi 9 kwa mikono miwili. Nchi Ipo Salama chini ya AMIRI JESHI MKUU 🙏