@themkulima Sisi tuliokulia kwenye kilimo hiki tunajua, tumbaku hainaga misimu miwili mizuri mfululizo. Tulivoona mwaka jana watu wamepiga hela tukajua msimu huu lazima watoe milio
Watu watafanikiwa upende usipende.
Watu watatajirika uwe unawaunga mkono au la.
Watu watashinda ukiwapigia makofi au la.
Chuki na Wivu wako haucheleweshi baraka zao.
MUNGU sio mjomba wako.
MADINI huchimbwa na huchimbwa kwa gharama kubwa. Na gharama hizo ni:-
1. Muda
2. Fedha
3. Kujifunza
4. Kupoteza
5. Kuvumilia
6. Kupambania
Hayo mambo huleta kitu kinaitwa EXPERIENCE! Ambapo mtu akishea Experience huitwa MADINI
Usione mtu anaongea MADINI, Ujue AMEKULA GHARAMA!
@Rahim_Meghji@PolycarpMDM Tabora, Chunya, Mpanda ndo wanalima alafu kiwanda Morogoro. Ilitakiwa kiwanda kiwe Tabora maana ndo ingekuwa rahisi kwa sehemu zote hizo kufika.
@MkulimaKante Kuna mwanangu alikuwa ashaCover topics zote kwa Mgote nikamuomba anifundishe SURFACE TENSION na SIMPLE HARMONIC... jamaa akanipa ratina ya pindi kuanzia saa 6 usiku, nilihudhuria siku mbili tu ๐คฃ๐คฃ๐คฃ mida ya kulala yeye ndo anataka tupige pindi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@MkulimaKante Sitasahau nilitoka kijijini na counter zangu mpya sijui chochote na nimepangiwa PCB. Ticha wa kwanza wa physics Error & Dimension kwenye definition tu naona wenzangu wanabishana na ticha .... bila kumpata om boii wa kunitia moyo nilikuwa narudi kijijini.
@SharonMontana20 Ivi viwanja vinapatikana Veyula Dodoma.
2Km to Arusha road
4km to Msalato int Airport
2km to Veyula-mtumba Ring road
2km to Mainlandgroup industry
3km to Makutupora JKT
1km to dispensary
Water, electricity, school ๐ฏ
15000 per square meter
0756685681
@Savasec Ndo maana nilikuwa nashangaa iliwezekana vipi Magu akawa na PhD ya Chemistry. Mtu ambaye hawezi kujua kuwa sometimes reactions zinaweza kuonesha false negative, True negative, false positive and true positive. Tena hasa kwenye biochemical studies and epidemiology.