Hii inaenda kuwa namna mpya ya madaktari kujitangaza kuwavutia wagonjwa? Kwani upasuaji huu haujawahi kufanyika hapa nchini au ni upasuaji wa kwanza kwa daktari husika? Au ni biashara? Ni njia ya kutafuta teuzi? @association_mat@wizara_afyatz@furia_francis@DrArabiFrank
@nhiftz@wizara_afyatz@TZMsemajiMkuu@ummymwalimu@bima_afyatz@nhiftz ndio mkome kusema tunachangia pesa kidogo,pesa zetu mnachezea kukopesha na kutoa kwa watu wasiostahili.Tunataka tutibiwe kwa michango yetu hatutaki na hatutawaelewa kuskia dawa hakuna mahosptalini.
@NormanJonasMD Ameandika ni layman,hakuna antibiotics za kisukari lakini kukosea Hilo neno hakuondoi kwamba hizo antibiotics hazijatolewa ambazo ni kweli antibiotics na dawa zingine pia kwenye mkeka huo chini.nadhani hoja kuu tujiulize kwanini @nhiftz wamezitoa? Wana lengo Gani?
Mhe. @ummymwalimu na @nhiftz ni kweli pamoja na dawa zingine, mmeondoa dawa za malaria na kisukari? Nini cha kuwavutia wananchi kujiunga na bima ya afya kupitia NHIF? Wataalam wa afya mtusaidie kuelewa impacts ya dawa hizo 178 zilizotolewa @BongeLaAfya@TumainiMakole@nulphin
@ummymwalimu Michango yetu inatuuma tunapooenda hospitali za serikali tukakosa dawa kwa NHIF halafu mmetoa form 2C wachangiaji tunateseka.wekeni dawa za kutosha hospitali za serikali wateja Wa NHIF watakuja wenyewe.haiwekani mtu ana NHIF halafu vifurushi vinatolewa mara kwa mara bila sababu
@wizara_afyatz Tumechoka na vitita visivyo na maana,Wateja Wa NHIF hasa wategemezi wanapata shida ,kuliko na haja Gani ya kuweka wategemezi halafu huduma zingine hawapati.kama mmeshindwa kuendesha acheni kuchukua ada kwenye mishahara yetu.elezeni wananchi ukweli tunakerwa na huduma mbovu zenu .
@ridhiwankikwete@ridhiwankikwete hii wizara yenu Ina madudu mengi hasa OR TAMISEMI.watumishi kuingizwa kwenye mavyama ya TWALGU bila ridhaa Yao na kuchukuliwa pesa zao huu ni utapeli.