@fizoo_2040@MalisaGJ_ sawa asante kwa taarifa maana GMalisa unaharakati ummefanya ashindwe kuandika kwa uhakika kiasi cha kumfanya amsahau mkewa Mnyika
@AnanileaN@tanpol Mama Nkya kusema uongo ni dhambi; kudanaganya wenzako ni immoral. Wanachi ni chazo cha mamlaka- hawana mamlaka usiwadanganye. Ila kwa dunia yenu ya kianaharakati- inawezekana lakini kwa dunia halisi-HAPANA
@AnanileaN Mama Nkya unatumia uwanaharakati wako vibaya kupotosha watu- hicho unachokkita kikukndi kidogo ni kikubwa kuliko kataasisi kako. Unachokosa wewe na wenzako ni imani na bila imani unapotea
@arodisiraji@MwitaJulius2000 Bwana mleta mada hii anataka kuchafua watu waliowalenga- 1. mbunge wa Musoma vijijini; 2. Madaktari AMBAO HAWAHUSIKI KWA LOLOTE
@MwitaJulius2000@HildaNewton21 Mkuu ulikuwepo badala ya kutoa hela kukoa maisha yake kwa kuweka hiyo simu yako rehani wewe unatumia simu hiyo kutueleza habari ya kufa kwake- Your morally and spiritually insensitive and corrupt.