Mithali 28:
1.Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
2.Kwa sababu ya maasi ya nchi wakuu wake huwa wengi; Bali kwa wenye ufahamu na maarifa hali ya nchi hudumishwa.
@MabalaMakengeza Kijana amekuwa adui, mtu akimuangalia kijana anaona uovu ndani yake, na hii ni kweli kwa sababu kijana ameshindwa kujisimamia, amekataa kuwa mkweli,na amekubali mtu mwingine amfanyie maamuzi na haya ndio matokeo yake.
@kwamekivaisi Lakini Mungu anawaangalia sana hawa unaowazushia na gharama yake utailipa vizazi vhako vinne. Muda mwingine ni bora ukaendelea kuwazushia wanasiasa wenzio huku unavuka mipaka na mapigo yake ni makuu mno.
@kwamekivaisi Huyu unayemsema kwa maneno ya uzushi anatimiza wajibu na utume wake kibiblia nenda kasome Kuanzia 1 Samweli mpaka Kitabu cha Wafalme ukaangalie manabii walufanyaje kazi, Acha huyu unayemzushia wengine waliingia gharama ya maisha yao.