Watu wanapitia mengi sana ambayo hatuyaoni wala hawatuonyeshi usoni mwetu. Ukiwakuta watu wanafurahi ama kushangilia mafanikio yao hata kama ni madogo, ama ungana nao kushangilia, au wapishe washangilie. Kama wewe si sehemu ya maumivu yao, usilazimishe kuwa sehemu ya furaha yao.
Chukua hii,
TEMBO na MAJI.
Tembo anauwezo mkubwa sana wa kunusa harufu,hakuna kiumbe jamii ya mamalia mwenye uwezo wa kunusa zaidi ya Tembo, uwezo wake ni mara 5 zaidi ya binadamu,mara 2 zaidi ya Mbwa na zaidi ya panya aliekuwa anaeshikilia hiyo record kabla ya Tembo👇🏿👇🏿
Mtu kawa mbunge awamu nne kashidwa ubunge mwaka jana mwaka huu kateuliwa Mkuu wa wilaya alafu kuna kijana miaka kagraduate miaka 5 iliyopita kila mara anapata kibarua cha mwezi mmoja bado anapambana alafu unatwambia watanzania ni wamoja?
Mjue kutofautisha Wananchi na Watanzania
Gharama hizi ni kama vile gharama za wataalamu pamoja na mitambo inayotumika katika shuguli za ujenzi.
Ununuzi wa vifaa (material) ya ujenzi moja kwa moja kiwandani au kwa supplier wa jumla umesaidia kupunguza gharama za ujenzi.
#KijiweChaWahandisi#WanawakeWahandisi
“Some people were asking me about vaccine hesitancy in Africa. I said- there is no vaccine so why do we talk about hesitancy. The problem is vaccine supply.
The injustice. The inequality.
We need vaccines now”- WHO DG @DrTedros speaking earlier today.