Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeitoza klabu ya Young Africans faini ya Tsh milioni tano kwa kosa la mashabiki wake kuwarushia chupa Benchi la Ufundi la Geita Gold kwenye mchezo baina ya timu hizo uliomalizika kwa Yanga SC kuibuka na ushindi wa 1-0 katika uwanja wa KMC Complex.
Kwa mujibu wa taarifa ya leo Septemba 19, 2026 iliyotolewa na TPLB, Yanga SC pia imepewa Onyo kali kwa kosa la kutofuata mtiririko wa matukio ya mchezo (Match Countdown) kama ilivyotolewa na Mratibu wa Mchezo kwenye mchezo huo kinyume na matakwa ya Kanuni ya 17:15 kuhusu Taratibu za Mchezo ambapo wakati wa kupasha Misuli Joto (Warm Up) Wachezaji watatu wa klabu hiyo waliingia uwanjani saa 12:00 Jioni badala ya saa 12:10 jioni.
Katika hatua nyingine, Afisa Ulinzi na Usalama wa Yanga, Eddie Evance, amepelekwa Kamati ya Maadili ya TFF kwa madai ya kukaidi kuti maamuzi ya Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi, baada ya kuonekana uwanjani licha ya kuwa anatumikia adhabu ya kifungo cha kutokuingia uwanjani kwa vipindi sita iliyotolewa Juni 8, 2026.
#KitengeSports
Alifanya utume katika mazingira, mila na tamaduni mbalimbali. Akishiriki katika ujenzi wa mahospitali, zahanati, shule, Parokia na Makanisa mbalimbali katika Jimbo Katoliki Moshi na jimbo Kuu Katoliki Arusha. Hatimaye Padre Pius Salema Shao ameaga dunia leo 13 Sept 2026. R.I.P Fr
Niliwahi kusema humu kwamba kuna wimbi kubwa la jobless specialists liko njiani bcoz kuna MD wengi wanaunga MMED. Haya kama unasoma MMED jiandae kujitolea huku mtaani. Na Nyie superspecialists mjiandae vizuri kukalishwa kwenye mfumo.😎