Wanawake mnamambo ya ajabu San yan ukimpenda mwanaume mpaka muanze kujizungusha mara naomba voch ninnulie maji nmchomee chips Kona kibao kwnni musiwe wawazi tuu
@ZPlanmaster Mzee wa upako yuko vzr San kuhusu kupga hakun kansa ambalo halipgi mnazan utaendesha kaz bila hela kansa halitaenda hat kwa daw nenda kote dunian huwez kuta kansa haliendeshwi bila hela