Kuna amani na shauku ya kipekee sana inayokuja pale unapojipa nafasi ya kujaribu au kufanya kitu kipya...Bila kuogopa matokeo yake hata kama hujakifanya.
Kila mwanaume atafika katika kipindi ambacho hawezi tena kujali kuhusu watu, kula bata au matatizo.
Atakachokua anataka ni amani, malengo, na kuwa na familia bora..