@Eric__Bernard Sawa tuseme ni tani, kwa hiyo sisi tunauza mafuta?? Kwenda Mataifa mengine mpk aseme kuwa sis bei zetu zipo chini?? alikuw anamaanish nn kusema hivyo??
Mimi Wazazi Siwaelewi Kwanini Hawaniamini Kukiwa na Mizigo ya Kubeba Stand Naaagizwa Ila Kwenda Kuwatolea Pesa ATM hawaniagizi....Huu Ni Unyanyasaji Mkubwa Sana
KANISA KATOLIKI LIMEPIGA MARUFUKU VIONGOZI WA KISERIKALI NA KISIASA KUALIKWA MBELE YA MADHABAHU/ALTAREN/MIMBARINI-KUSALIMIA,KUTOA NENO LA SHUKRANI AU KUSEMA CHOCHOTE.
Kanisa Katoliki limepiga MARUFUKU viongozi wa KISERIKALI na
KISIASA kualikwa mbele ya madhabu/altareni/mimbarini kusalimia, kutoa neno la shukrani au kusema chochote,
Sadaka ama shukrani
zitatolewa na Katekista/padre/askofu nk kwaniaba ya kiongozi/ mwanasiasa huyo.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SEHEMU YA NNE. (TUIJUE CHADEMA KWA PAMOJA)
Kasisi wa zamani, mbunge wa Karatu na mkosoaji maarufu wa serikali apewa nafasi ya kugombea urais,
Cc @DrSlaa#NoReformsNoElection