Hongera sana kaka.
Wanangu turetweet yangu nidake hiyo simu ndio niongeze mawanda ya kutoa nondo kwa simu nyingi.
Haters na wanangu sana.
Turetweet hii nishinde sasa, hamnilipagi mjue🤣
Hii naiombeni.
@Njiwa_Store
47 days 💔💔
Siku 47 tangu Daniel apotee.
Siku 47 za ukimya, hofu, na maswali yasiyo na majibu.
Kupotea kwa mtu si jambo la kawaida. Si jambo la kukaa kimya.
Tunaomba msaada wenu sauti zenu, macho yenu, na moyo wenu.
Daniel ni binadamu. Ana thamani. Ana familia. Ana maisha ambayo hayapaswi kusahaulika.
Tuendelee kupaza sauti hadi pale atakaporejea salama au haki itakapopatikana.
#bringbackdanielchonchorio
If you started weak, you can still finish strong. The Almighty has made the ending better than the beginning. Don't lose out on these last days of Ramadan.
IMMIGRATION GOLD CARDS
Visa Maalum Zinazowapa Watu Uraia wa Marekani kwa Kulipia Dola Milioni 5.
Ripoti zinasema mpaka sasa tayari Marekani wameuza hizo visa za IGC zipatazo 1000.
Kwa haraka haraka hapo USA imekusanya $ bilioni 5, hiyo ni kwa muda wa wiki 1 tu!
👇👇👇