Kutana na watunza hazina za MySol!
Tunawatambulisha timu inayosimamia fedha kwa uangalifu na uwazi—ikihakikisha kila rasilimali inatumika kwa ufanisi ili kuendeleza ukuaji na kuleta nishati safi kwa jamii nyingi zaidi.
#mysoltunawashadunia#solaboramaishabora#RoadTo100M
Funga mwaka ukiwa na mkwanja!
Shawishi ndugu, jamaa au marafiki 2 au zaidi wanunue SLS upate Kamisheni mara 2 zaidi kwa kila mteja! kwa msaada na maelezo zaidi tupigie BURE 0800755000
Mwaka unaisha, pesa iongezeke!
#mysol#mysoltunawashadunia#solaboramaishabora#RoadTo100M
Hawa ndiyo wataalamu wa ubora MySol!
Wanahakikisha mawakala wetu wanaajiriwa, wanaendelezwa na kufundishwa ili kutoa huduma bora kwa wateja wetu wa MySol.
Karibu MySol! Tunatoa fursa za ajira kwa vijana wenye ari na uwezo.
#TeamIgnite#solaboramaishabora#mysoltunawashadunia
Mysol Tanzania inawatakia Heri ya Sikukuu ya Uhuru, Tanzania! 🇹🇿
Tunaenzi safari yetu ya maendeleo, umoja na uthubutu.
Tuendelee kujenga taifa imara, lenye matumaini na nguvu mpya,leo na kila siku.
#solaboramaishabora#ignite#uhuruday
Katika kusherekea wiki ya huduma kwa wateja MySol tunakupa zawadi ya punguzo la bei na Radio BURE kabisa. Miliki mtambo wa taa kwa kulipia kianzio cha TZS 25,000 tu! na upate Radio ya kisasa.
wahi sasa, Tupigi BURE 0800755000
#solaboramaishabora
Tumekurahisishia sasa unaweza kupata taarifa za mtambo wako na kufanya malipo kwa wepesi sana, BONYEZA *148*19# na upige BURE kabisa, fuata maelekezo na upate huduma kwa wepesi sana.
Kwa maelezo zaidi tupigie BURE 080075500
#solaboramaishabora#actwithengie
Lipia Mtambo wako sasa na @yastanzania_ ni rahisi kabisa bonyeza *150*01#. Tupigie BURE sasa 0800755000 ujipatie mtambo wa sola kwa bei nafuu kabisa
#solaboramaishabora#MySol
Ijumaa Kuu ni siku ya kutafakari juu ya upendo, msamaha, na sadaka kubwa iliyo tolewa kwa ajili yetu. Tunawataki Ijumaa Kuu yenye amani, faraja na baraka tele.
Tuchukue muda huu kuungana kwa moyo wa shukrani na matumaini. 🙏
#IjumaaKuu#AmaniNaUpendo#MySol#solaboramaishabora
Hivi vibanda hapa coco beach vinapendeza. Nataraji kuwa wahusika wamefikiria vema suala la Nishati. Ingependeza sana kama kungeweka solar panels Juu ya vibanda vyote. Any company to consider CSR there?
Small Industries Development Organization (SIDO) has honored our #Tanzania team (represented by Frank Julius Mollel, pictured) with a cert of appreciation for dedication to powering #offgrid#SMEs with #solar.
Well done @EngieMobisolTz🎉
#ActWithENGIE#ActWithAfrica
Happy #AfricaDay! We're proud to provide #cleanenergy to millions in 9 African countries: Benin, Côte d’Ivoire, Kenya, Mozambique, Nigeria, Rwanda, Tanzania, Uganda & Zambia @mysolbenin@ENGIEMobisolKE @FenixNigeria @MobisolRwanda @EngieMobisolTz @MySolReadyPay @FenixZambia🌍