@TillahBlessed@NajjatOmar Nazani shida Sio kuwa kwenye chama flan au kushiriki kampeni flan, ishu Ni kutokemea vibaya kwenye jamii Na wengine wanavuka mbali Zaidi wanakejeli Ni Bora usikemee au kuongea chochote kuliko kukejeli
@90sponso @emabilly2001 Awe kahaba asiwe kahaba km mtoto tu anapita pale usijidanganye utamridhisha inshort Ni vile Mtu anakupenda Na kaamua kutulia Na ww
@Qallo5@Sirjeff_D Amekueleza ukweli ambao unatakiwa uuchukue km ulivyo mfano hata Leo vyombo vya ulinzi Na usalama Vipi mtaani kutekeleza majukumu waliyoambiwa Lakin sizani km umewaona wakubwa wao wakiwa barabarani pia