No Reforms No Election bila kuchoka siku 14 tutabadilishana shift tu humu 🙌
Isambaye Repost.. Repost ifikie kila mmoja ili tupangiane shift
Chapaa Repost 🤞
#NoReformsNoElection
The movement is thriving
@TunduALissu stood firm when many didn’t understand!
Alijitoa mhanga akaweka mguu chini akasema “#NoReformsNoElection ndo njia pekee !”
Leo yupo gerezani na kesi feki ya uhaini ila harakati imechangamka!
Mbeba maono!
Sambaza ujumbe
#NoReformsNoElection
Mange kaacha UMBEA inamaanisha kapoteza zaidi ya $100,000 kwa Mwezi. Na amesema ataachana na UMBEA kwa Miezi mitano.
Inamaansha anaenda kupoteza zaidi ya $500,000 kwa miezi mitano. Yote kwaajili ya HARAKATI za kuikomboa TANZANIA.
Kipenzi cha WAPENDA HAKI, hapa umejua Kutukosha DADA WA TAIFA. Naomba tushow love kwa REPOST 500🔥🔥
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Kama uku tayari kumlinda mwenyekiti @TunduALissu kwa wivu mkubwa sana na watu wenye Nia ovu ya kukwamisha uongozi wake ndani ya chama.Retweet hapa nikuone kamanda
Kwasasa CHADEMA inahitajika na watanzania.
WAJUMBE punguzeni UBINAFSI, sikilizeni sauti za wengi maana hiyo ndio sauti ya MUNGU. Jana baada ya FAM kutangaza kuchukua FOMU mliona hasira za watanzania hata ambao sio wanachadema.
Tulipofikia kwasasa WAKOLONI WEUSI wanahitaji SIASA NGUMU. Na mtu pekee anaeweza kuleta SIASA NGUMU ni TAL. Nenda kasikilize press ya TAL akiwa mliman city, kisha sikiliza hotuba ya FAM akiwa mikocheni.
Hotuba ya TAL ilibeba mstakabali wa chama wa sasa na wa baadae. Hotuba ya FAM zaidi ya masaa mawili ilielezea historia tuu bila kuwa na MUELEKEO wa tunaenda wapi.
Hizi hotuba MBILI zinaonyesha wazi kuwa mmoja ana mkate MDOMONI hawezi kuongea, ila mwengine ana njaa atatafuta kila namna apate kukata njaa yake.
WAKOLONI WEUSI wametutawala zaidi ya miaka 60, ukiona wanampongeza mmoja hasa yule aliekaa miaka mingi kama kiongozi inamaanisha wao huyo ndio NGAZI kwao ya kutawala miaka mingine 60 zaidi.
FAM kasema huu utakuwa muhula wake wa mwisho kutawala, ila hii sio mara yake ya kwanza kusema hivi. 2019 pia alisema ule ndio muhula wake wa mwisho. Kwahiyo hizi DANADANA anaweza kuzipiga hata mihula 10 mingine ijayo na hakuna kitu tunaweza kufanya.
WAJUMBE MKIJIONA KWASASA NYIE HAMGUSIKI mkafanya maamuzi kwa njaa zenu tunawakumbusha tuu haya maisha tunategemeana. Na bila shaka nyie mnatutegemea sana sisi. Mwakani mtatukuta mtaani. Na sisi itakuwa Zamu yetu kuwa HATUGUSIKI msilete NJAA ZENU ZA KIPUMBAVU.
REPOST 400 🫵🏾🔥
SATIVA17🫡