If you are a Chelsea fan kindly Retweet ๐
Hi, i hope you're doing well.
We're organizing a Chelsea East Africa Fans Party, bringing together Chelsea supporters from Tanzania, Kenya, Uganda, and Rwanda. Tanzania is proud to host this year's event in Dar es Salaam on 29 August.
@Mbaade_tz@zed_ogtz Kwa Mtu anaepitia msongo wa mawazo kusema mkikutana ngumu Sana ila keyboard rahisi Mzee.. na ngumu Sana kumjuwa Mimi pia hii kitu ๐๐พ๐
@Liprofesa@bohny_chengula Asilimia kubwa ya watanzania vipato vyetu bado havijafika level ya juu, kuna muda unaona Bora usinunue sendo, utafute hata yebo la mtumba la bei chee.. bei za Moto Sana ๐๐พ๐ฅ
@fredwithay1@bonifacejoseph_ Amini mkuu na suala la taaluma ya biashara sio poa Mtu anaweka bei Tu haelewi ana-affect vipi wateja wake waliomzunguka ata kama bei kubwa zaidi hawazi na lawama huja zaidi sababu ya kukosa wateja na shida uanzia hapo
@Liprofesa@bohny_chengula Asee! Kweli Mzee. Yani sendo kutoka 15k mpaka 38 kmmke 23 nzima profit kibindoni na hapo 30k hataki kuuza hlf badae ulalamike wanaouza bei kitonga.
Lazima wajuwe kipato cha wateja wao, Wenda mchina kaona uwezo wa ku-afford bei za juu hakuna koh kaja kuweka kamserereko.
@salvizuals@bohny_chengula Umeongea point Mzee.. hapo tatizo ni kujuwa asilimia ya target yako kipato Chao kipo namna gani sio kuuza ilimradi Tu. Understanding your customer ni nzuri mno.. Mimi pia uwa nanunuaga maduka ya jumla bei chee Sana Yani yebo ya 5k, wanauza 12k labda nafikiri Wana wateja wao