@Adventure_36 Tangu tarifa ya kwanza inamfikia mzazi alitakiwa achukue hatua kwa kumtqftia mtoto msada wa matibabu ya ki akili kwa mana ilionesha kabisa mtoto hayuko sawa ki akili na ni ugonjwa mkubwa tuchukulie huu ugonjwa serious kama magonjwa mengine
@SkyraReal same old story when you say something positive about arsenal the outcome becomes opposite just like yesterday and the other days its either your jinxing arsenal fans or you dont read your codes well
@EliabuDanford hii vita ukiangalia kwa jicho lingine ni kama marekani ndo anafaidika sana kuliko kupata hasara its like kila mtu aba dance to Americas music
@mafolebaraka inabidi uache kujita digital nomad sababu hujui uliongealo kwenye betting influencer anawekwa wazi wengine wote ni wanafanya affilate marketing ambayo hata wewe kwenye kazi zako unafanya ambayo ni ngumu sana stop hating