@kahawa260@bob_mchelsea@anuskills3 Pia mathematically, odds zimekuwa designed ukiweka mikeka miwili (say DC na mwingine Win) always mmojawapo lazima uchane na mmoja utashinda. Hela total uliyoiweka kwenye mikeka yote miwili, itakuwa zaidi ya hela uliyoshinda, overall unakuta umepoteza hela i.e Stake > Winnings.