Miaka miwili ya kukaa Madarakani umeshauza Mbuga zetu,bila huruma ukafukuza wamasai kwenye ardhi Mungu aliwapa.
Hata hatujapumua umeshauza Bandari zetu zote!...
Tupumzishe please!... Nchi hii na vyote vilivyomo si mali yako, hebu tofautisha kati ya "KUSIMAMIA" na "KUMILIKI"