@mhdhamad@SuluhuSamia Kwa kutumia pua yangu naona kuna mchezo mchafu na wenye pesa ndefu unapangwa hasa wazee wa sembe wanataka kuwa na bandari bubu Kwa kigezo ili wazifikie meli kiwepesi Kwa kigezo cha kupeleka chakula pale miti miwili
@VungaEl74 Mwandishi jifunze kwanza diplomasia na war manifest kwanza. Kombora walilotuma halikuwa na warhead ndio maana halikuleta shida na walipunguza nots ndio sababu unaona lilitua baharini hii ilikuwa kumuonesha lakini ukumbuke mchina ana silaha nyingi sana na anayataka mafuta ya Iran
Hakuna Vurugu wala Uhalifu wa aina yoyote ya Maandamano ambayo yametokea kwa siku ya leo.
Hali ni Shwari, na vyombo vya Usalama kupitia taarifa ya Polisi wamethibitisha hvyo. Puuzeni taarifa za Uongo za Wanaharakati uchwara ambao adhma yao ya kuona Tanzania kunatokea vurugu imefeli.
#KataaVuruguNaUhalifu
#TanzaniaNiSalama
#YouthsAgainstViolence
@Roma_Mkatoliki Roma tambua sio watu wote wataketi meza kuu na kula keki. Ikiwa hivyo hakuna atakayetaka kukaa jikoni kupika wa atakayetaka kukaa field kulima ngano so at the end there will be no cake to chop
๐ Dar es Salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji,Mhe Prof. Kitila Mkumbo, akieleza kwa Waandishi wa Habari mikakati ya Wizara yake kuzalisha ajira nyingi kwa vijana kupitia uwekezaji unaofanyika hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo, Desemba 8, 2025 jijiji Dar es Salaam.
@killo_killo11 Kimara mpaka sasa sisi tupo shwari na tunapiga beer kusherekea Uhuru wa nchi yetu tuliyoridhishwa toka kwa waasisi wetu wakiongozwa na J.K Nyerere