Mitandao ya kijamii ni fursa, sio mahali pa kuzurura bila lengo. Tumia muda wako kutafuta maarifa, mitandao ya kibiashara na fursa za kujitegemea.
#KijanaNaFursa | #mulika255
LECTURE SESSION AT THE #University of Dar es Salaam (UDSM) ON PUBLIC FINANCIAL ACCOUNTABILITY by WAJIBU- Institute of Public Accountability in collaboration with #AccountabilityClub#MrMafunzo
Today, TYVA, in partnership with @tumeyauchaguzi_tanza hosted the Student Youth Café in DSM. The session aimed to inspire secondary school students, particularly first-time voters, to actively participate in the electoral process through BVR.
#JiandikisheINEC#KijanaJiandikishe
Mulika Tanzania is hosting a workshop on Youth Economic Empowerment in three districts of the Dodoma RG: Chamwino,Bahi and Kondoa.Don’t miss this incredible opportunity! Stay updated through our social media platforms and be part of the movement
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Vijana wa Chamwino, muda wenu.
Jiunge na Mulika Tanzania leo katika wilaya ya Chamwino kwenye Youth Economic Empowerment Workshop kujifunza kuhusu fursa za uchumi, ujasiriamali, na maendeleo binafsi.
Leo Tarehe 11 Machi 2025.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Leo tumeanza Youth Economic Empowerment Workshop.
Winfrida Mponzi Mratibu w Programu ya YEE akifungua workshop.
"Vijana wanajengewa uwezo ili kuwa sehemu ya mabadiliko ya kiuchumi. Hii ni hatua muhimu kwa mustakabali wao na jamii kwa ujumla."
#YouthEmpowermentTz#Mulika255
Winfrida Mponzi, Mratibu wa mradi wa Youth Economic Empowerment ikitoa ufafanuzi namna workshop itavyoweza gusa maisha ya vijana wa Chamwino. Akielezea namna YEE itavyofanya utekelezaji wake hususani kwenye mafunzo na ujasiriamali.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
"Wilaya yetu ya Chamwino imejaa fursa za kibiashara, ikiwemo kilimo cha zabibu, na halmashauri inatoa mikopo kwa vijana ili kuwawezesha kiuchumi. Vijana mafunzo haya yakawe chachu ya kuwafungua akili" – Grace Vicent, Afisa Biashara Chamwino.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Halmashauri hutenga 10% ya mapato yake ya ndani kila robo mwaka ili kuwawezesha vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu. Bi. Mary Muhiza Afisa Mikopo wa Chamwino mewahimiza vijana kutumia fursa hii kukuza biashara zao na kuimarisha uchumi wao.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Sifa za kupata mkopo wa 10% kutoka Halmashauri,
✅ Kuunda kikundi chenye watu 5+
✅ Kuwa na wazo la biashara lenye mwelekeo
✅ Kuandaa katiba ya kikundi
✅ Kusajili kikundi kwenye mfumo rasmi
✅ Kuomba mkopo kupitia mfumo huo.
- Afisa Mikopo
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Muda wa Mabadiliko kwa Vijana wa Chamwino.
Vijana wakiwa na ari na shauku, vijana wanapata maarifa muhimu kuhusu biashara, uwezeshaji na fursa za mikopo. Ujuzi huu utawasaidia kuleta mabadiliko chanya kwa jamii zao na nchi kwa ujumla.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Washiriki wa YEE Workshop wakiwa katika vikundi, wakichambua masoko ya bidhaa zao na kutathmini changamoto wanazokutana nazo kwenye biashara. Kupitia mijadala hii, vijana wanapata mbinu bora za kusimamia biashara na kufanikisha maendeleo yao.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Naamala Samson, Mkufunzi wa Masuala ya Fedha, anashauri kwamba 10% hadi 30% ya mauzo yako inapaswa kutunzwa kama akiba au kuwekewa mpango wa uwekezaji.
Nidhamu ya kifedha ni nguzo muhimu kwa mafanikio ya muda mrefu katika biashara.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Umuhimu wa kuweka rekodi sahihi katika biashara yako:
✅ Rekodi mapato ya kila siku
✅ Tenganisha mapato ya biashara na ya binafsi
✅ Rekodi matumizi yako yote
✅ Fuatilia madeni unayodai na unayodaiwa.
Hivi vitu vinaimarisha biashara yako.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Ili kuweza kuomba mkopo kupitia Wezeka Portal, wanakikundi wote mnapaswa kuwa na mradi wa pamoja ambao mnautekeleza kwa kushirikiana. Mradi huo utajumuishwa kwenye katiba ya kikundi kama sharti muhimu la kufanikisha maombi ya mkopo.
Afisa Maendeleo Buigiri
#YouthEmpowermentTz
"Niwahakikishie vijana, Mulika Tanzania tupo bega kwa bega nanyi. Tutahakikisha tunawajengea uwezo wa kufuata hatua zinazohitajika kupata mikopo, hususan kwa vikundi ambavyo vimekidhi vigezo vya upatikanaji wa mikopo hiyo."~ Winfrida Mponzi
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Hureeeèeeeeey 💪
Nyuso za furaha kwenye picha ya pamoja kati ya Viongozi wa Mulika, Wageni na Kundi vijana wa Chamwino Lililonufaika na Workshop ya kuwawezesha vijana Kiuchumi (YEE).
Tukutane kesho Bahi...
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255
Siki ya Pili ya Mradi wa YEE, tuko na Vijana wa BAHI.
Jiunge na @Mulika255 leo katika wilaya ya BAHI kwenye Youth Economic Empowerment Workshop kujifunza kuhusu fursa za uchumi, ujasiriamali, na maendeleo binafsi.
Leo Tarehe 12 Machi 2025.
#YouthEmpowermentTz | #Mulika255