Utajiri wa mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Facebook, Mark Zuckerberg umeanguka kwa TZS Trilioni 16.1 katika soko la hisa, kwenye masaa ambayo mitandao ya Facebook, Instagram na Facebook imekuwa haipatikani duniani kote. πΈAP Photo/Mark Lennihan