Comedy Content Creator | Serious Funny Dude | TCA: Best Male Comedian of the Year 2024 ๐ | WaHovyo Awards: Best Comedian 2024 | Subscribe on my YouTube channel
Nimeahidi mwaka huu 2025 familia yangu ya X mtapata contents za kutosha sanaaa, anzeni kutafuta madaktari bingwa wa kutibu mbavu mapema.
Sasa kabla hatujaanza kazi tupate zile Best of 2024 zilizaofanya mnipe kura za wingi kwenye #WahovyoAwards2024 na kuibuka Best Comedian 2024
Hapa hutawasikia wala kuwaona BASATA maana haya ndio MAADILI wanayotaka watanzania muwenayo kipindi cha miaka mitano ya DIKTETA JIKE.
Ila wakisikia โTEREMSHA BUNDUKIโ wanakimbia kufungia hata kama hawajaitwa. Kiufupi BASATA ipo kwaajili ya kuhakikisha watanzania mnakula MAUDHUI YA KISHENZI na watoto wenu wanaishi kwenye misingi hiyo.
Hii nchi ikikombolewa maeneo ni mengi sana ya KUFUMUA. Tutaanza upya kila kona.
TUTAKUWEPO๐ซต๐พ๐
Ila watu wa hii timu wana vituko sana, kwahiyo timu kwa sasa iko chini ya kocha @Nanga_OG ๐๐๐๐
Si bora hata wangempa @Sativa255 pamoja na UJINGA wake angeweza kuwavusha ๐
Nimeumia sana kwakweli toka jana, nimejiona ni kama Underground ninaye anza muziki๐
Eti imagine toka tumetoa huu wimbo hakuna Media hata moja
(Radio wala Online Media) ya ๐น๐ฟ iliyonivutia konga kwa ajili ya interview๐
Nimefanya na media za Kenya tu!!
Wanangu wamenikaushia kauuuu
kimya kama wanaaga maiti vile!!๐
Ni kama wanaona huu wimbo umekaa kaa kuondoka na wasio na ITHIBATI!!๐
Kweli nyama ngumu sana!!
Keep supporting good music
#ABDUL ๐๐๐๐๐
Bila kupepesa macho nipende kuwapa HESHIMA kubwa familia yangu ya X, nyie ndio mmenifungulia milango kwenye haya mambo ya TUZO. Mliona nafaa na mkanipa THAMANI KUBWA.
NAWAPENDA SANA FAMILIA.
@Big0047@Sativa255@Mkuruzenzi
Wakati hii video inatoka ulikuwa wapi?
Hii tulishoot 2017, moja ya clip bora sana kutoka SeriousFunny Crew
Cast: @Nanga_OG, Kabo na Bargo Biggo
Director: @directorchuma
Cameraman: @Mkuruzenzi ๐ซต๐พ๐