Wakuitwa Victor ila wengi wanamfahamu kama @nanga_og moja kati ya vipaji halisi kabisa ambavyo am proud vimepita katika mkono wangu na @directorchuma
Kila siku nimekuwa nikimwambia afungue x acc ila amekuwa mzito, leo rasmi nimemfungulia acc fanyeni kumpa support.
@nanga_og
Kwa mara kwanza Tanzania kwa lugha ya Kiswahili, Sony wanakuletea Workshop itakayokupa fursa ya kujifunza mambo mengi.
Apply now via
https://t.co/VGwNZe9lTb
LIMITED SEAT AVAILABLE
Apply mapema.
@Tigo_TZZ Mwsho kabisa wa kuboresha zaidi
Tafuteni wateja wenu wenye uelewa sana kuhusu technology na wateja wakawaida jumla wawe hata 10 muwe mnawaalika kila mwezi au after 3 month mnaongea nao friendly kwenye lunc ya pamoja! Mtapata mambo mengi mno na mtaonekana mnajali sana wateja wenu
@Tigo_TZZ Mi nafikiri ni vema watu wa customer service wawe wenye uwezo technically, ikiwezekana wawe watu wa IT ndio wakae hapo then wapewe mfumo how itโs work! Nasema hvyo kwasababu 80% ya simu ninazopiga hazikuwa na msaada, yaani unaongea na customer care mpaka unagundua umemzidi uelewa
@Tigo_TZZ Ushauri: Wapigine msasa wa kutosha kuelewa mfumo unafanyaje kazi kiundani na muhakikishe wameelewa, ni aibu mteja kuuelewa mfumo kuliko mtoa huduma
Weken watu wenye uelewa wa kiteknolojia na wawe updated, huku mtaani device ni nyingi mno
Au nipen kazi ya kuwapiga msasa monthly
@Tigo_TZZ Ila kwenye simu 10 unaweza pata mmoja akakulezea mpaka unafurahi ila wengine wakigundua umewazid uelewa wanakwambia fika kwenye tigoshop, hapo sasa hamtaacha kutukanwa kama comments nyingi nizionazo hapa, unatumika muda mwingi kumpata mtoa huduma then anakwambia fika tigoshop