"MTU ANAPOTEAJE KITUO CHA POLISI? Tunamtaka RPC, RCO na IGP wawarudishe Ibrahimu Myovera, Antony Fyumagwa na Ally Kalolo katika kwenye familia zao." Mhe. @hechejohn
Wamekuteka zaidi ya Mara 3 wakakutesa na kukuumiza vibaya, wamekusingizia kesi ya madawa ya kulevya ukakaa gerezani zaidi ya mwaka mmoja, sasa wamekuteka na kukupoteza, Mungu akutie nguvu Mdude tunakupigania.
Ohhh , Banjoo umeuwawa ? Nakukumbuka sana , ulikuwa mstari wa mbele sana ktk kumsadia Batlida Burihani kushinda uchaguzi Arusha 2010. Msatari wa mbele sana.
Tumefika pabaya. Maisha ya mwanadamu yamekuwa na thamani ndogo kuliko maisha ya panya. Tumezoea ukatili na mauaji kama sehemu ya maisha. Tumehalalisha hofu na ubaya. Hakuna aliye salama katika nchi inayodharau uhai. Leo ni yeye, kesho ni mimi, kesho kutwa ni wewe. Taifa hufa pale watu wake wanapokubali maovu kuwa kawaida. Naogopa sana TAIFA LA VISASI.
Mhe. Lissu: Polisi walikwambia ukiwa shahidi kwenye kesi hii watakufutia mashitaka yako si ndio?
Shahidi wa kificho P6: Hapana Mheshimiwa we acha tu. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Elimu ya bure kwa mr President chapa reposti 100 kwaeshima ๐๐๐
Napenda kuchukua nafasi hii, Kumshukuru sana kaka yangu Bwegeโฆ. Pamoja na hali yake, hali ya usafiri wa Dar โฆ Amejitoa na kuja mahakamani kusikiliza na kumpa nguvu Mwenyekiti wetu .. Tundu Lissu katika kesi yake uongo ya uhaini..
Mwenyezi Mungu aendelee kukulinda kaka Bwege akupe afya njema na maisha marefu.
Tutashinda.
"Kama haki ingekuwa hai, Leo ingejificha..
Wazee wanalia mahakamani, viongozi wanatabasamu.!!
Hii kesi - Ni aibu ya Taifa."โ๏ธ
Pole sana Mama yetu kwa maumivu unayopitia katika kipindi hiki.
kama Taifa hatuna cha kukulipa kwa kutuletea @TunduALissu Mwenyezi Mungu atakulipa๐๐พ