Ukitaka kuamini sisi ni nchi maskini sanaa.
Imagine kuna mtu analipwa mshahara wa Laki Tatu na Tunamuonea wivu kabisa kwamba bora yako umeajiriwa😂
Yaan Laki tatu ni sawa na Elfu 10 kwa siku, ukila elfu 5 unabakiwa na elfu 5, iyo elfu tano ukipanda dala dala kwenda na kurudi ni elfu 3 imekatika.
Hujalipa bili, hujalipa kodi, hujala, hujavaa, apo hamna Saving yeyote.
Jamani sisi ni Nchi MASKINI SANAAA. Sijui Kama watawala wanawawaziaga wananchi wao.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi amesema Serikali inaendelea na uchunguzi kuhusu madai ya kutoweka kwa Mwanasiasa Humphrey Polepole.
Kauli ya Katambi inakuja ikiwa ni siku 274 tangu kutoweka kwa Polepole alfajiri ya Jumatatu, Oktoba 16, 2025 katika Makazi yake ya Ununio, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es salaam hadi kufikia leo Julai 16, 2026.
Kupitia mahojiano maalum na AyoTV, Waziri Katambi amesema, “Katika hayo ya utekaji kulikuwa na sura nyingi, sura ya kwanza mambo ya utekaji yalikuwa yanafanyika na Watu wenyewe unakuta ni raia kwa raia labda ni ugomvi, uhasama, chuki ama ubabe na kwasababu wanatofautiana misimamo fulani fulani mwisho inaonekana imefanyika na Watu kutoka Mamlaka za Serikali, utakumbuka juzi mauaji ya James Temba (aliyekatwa kichwa) walisema Serikali imefanya, Super Sami alitekwa wakasema Serikali ila uhalisia ukagundulika sivyo, na mifano mingine mingi kama yule Bonge wa Kimara (Tarimo) haikuwa Serikali”
“Sisemi kwamba natetea tu Serikali, upande pia wa Serikali naweza nikafanya mimi Mwajiriwa wa Serikali kwakuwa nina visa na Mtu lakini sio kwamba nimetumwa na Serikali na wapo Askari ambao wamebainika kufanya makosa na wamechukuliwa hatua, Serikali haiteki inakamata na kumpeleka Mtu kwenye vyombo vya sheria”
Katambi ameongeza kuwa uchunguzi wa masuala ya aina hiyo unahitaji muda wa kutosha ili kuhakikisha haki inapatikana kwa pande zote zinazohusika.
“Ukiharakisha shauri haraka unaweza kuzika haki za Watu na ukichelewesha haki umeinyima pia haki hiyo, kuhusu Polepole taarifa ya mwisho Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilisema vinaendelea na uchunguzi na upelelezi juu ya jambo hilo na hata aliyekuwa anatoa taarifa hiyo niliiona kupitia Ayo TV, alisema inasadikika hakuwepo Nchini lakini kuna taarifa zinasema alikuwa Nchini kwahiyo kama ni kweli au sio kweli upelelezi unaendelea,”.
#MillardAyoUPDATES
🚨 Cristiano Ronaldo: “I will not be ‘more Cristiano’ if we win the World Cup, or ‘less Cristiano’ if we don’t win it”. 🏆🇵🇹
“I’m grateful to life. I’m enjoying every single day, I’ve been lucky. I learned to enjoy day by day”.
Wakuu wa misafara mnavogandisha watu barabarani muwe mnafikiria nao wana schedules pia nusu saa unaganda unaambiwa msafara na hamna hata harufu ya gari kutokea ukute mkubwa ndo kwanza anakula msosi huko kasema tu atatoka sio muda ila hilo wenge sasa.
Watu watafanikiwa upende usipende.
Watu watatajirika uwe unawaunga mkono au la.
Watu watashinda ukiwapigia makofi au la.
Chuki na Wivu wako haucheleweshi baraka zao.
MUNGU sio mjomba wako.