🚨🇩🇪 Jürgen Klopp has signed his contract as new Germany head coach, today is the day for the official confirmation and unveiling.
Here we go, never in doubt: Klopp until July 2030, set to be announced.
Kutana na Q8 Pocket Camera
kamera ndogo yenye uwezo mkubwa:
✨ Uwezo wa 4K Ultra HD🔄 Lenzi inayozunguka 180°
Touch Screen ya 2.0-inch IPS
🔋 2000mAh Inafaa sana kwa wasafiri, wavloggers, na content creators maudhui.
Tsh.300,000
Asanteni Katoro kwa #ToneTone.
Mliopo hapa mtandaoni pia mnaweza kuwa sehemu ya operesheni hii kwa kuchangia #ToneTone.
Mpesa
Namba: 0744446969
Jina: Chadema HQ
NMB
Namba: 22606600140
Jina: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Leo tarehe 16 Mei 2026 nimepata bahati ya kuzungumza na wananchi wa Katoro katika uzinduzi wa Operesheni #KatibaMpya na #FreeLissu uliofanyika Mji Mdogo wa Katoro, Mkoa wa Geita.
Ndugu zangu wananchi wa Geita, nyinyi ni watu wema, wenye upendo na moyo wa dhati katika harakati za kudai haki, demokrasia na mabadiliko ya kweli. Sisi @ChademaTZ2 tunawapenda sana na tunawashukuru kwa support yenu kubwa na ya dhati.
Pamoja tuendelee kupigania Tanzania yenye haki, uhuru na katiba mpya kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
#OperesheniKatibaMpyanaFreeTunduLissu
#Tunawatututashinda
Imagine being us. Hapa ni Katoro – Geita. Hapa ni mkutano wa kwanza wa oparesheni #KatibaMpyaFreeTunduLissu. Wananchi wa Katoro wamefurika kwa wingi sana katika viwanja vya Satelite kusikiliza nondo za viongozi wa CHADEMA. Kituo kinachofuata ni Kahama – Shinyanga. #PeoplesPower
"Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela. Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
🚨 Toni Kroos tells Marca: “Luis Enrique subbed out Ousmane Dembélé, his best player, in the 65th minute of a Champions League semi-final and nobody complained. He exits the pitch, shakes his coach’s hand and sits on the bench cheering his teammates. There are some counter examples to this.”
“You look at Ousmane Dembélé, and how he's yelling at his teammates to keep fighting, from the bench. That's not what 90% of players who think they're stars would do. They start to do bad gestures on the pitch, then sit on the bench sulking.”
DAMURU apatikane.
Suala la utekaji na upotezaji wa watu limekuwa doa zito katika jamii, likiacha hofu, majonzi na maswali yasiyo na majibu.
Watu wanaotekwa au kupotea mara nyingi ni wale wasio na hatia, huku familia zao zikibaki katika hali ya sintofahamu na maumivu yasiyopimika.
Kinachoongeza uzito wa tatizo hili ni pale ambapo wale waliokabidhiwa jukumu la kulinda raia wanashindwa kutimiza wajibu wao ipasavyo na wakihojiwa hutoa maelezo yenye dhihaka.
Inapotokea kwamba vyombo vinavyopaswa kuhakikisha usalama vinageuka kuwa dhaifu, au vinahusishwa moja kwa moja au kwa uzembe na vitendo hivyo, basi hali inakuwa hatari zaidi.
Kukosekana kwa uwajibikaji kunafungua mlango wa mazoea mabaya, ambapo utekaji na mauaji vinaweza kuonekana kama jambo la kawaida lisilo na madhara makubwa kwa wahusika. Hapo ndipo imani ya wananchi kwa mifumo ya ulinzi na sheria huanza kuyeyuka.
Ukiona kwamba anayepaswa kumaliza tatizo anashindwa kulimaliza, basi kuna dalili kuwa chanzo cha tatizo si kile kinachoonekana juu juu. Inaashiria uwepo wa mizizi iliyojificha iwe ni uzembe, maslahi binafsi, au mfumo uliooza.
Katika hali kama hii, suluhisho halipo tu katika kushughulikia matukio ya utekaji, bali katika kubadili au kuondoa kabisa mfumo unaoruhusu vitendo hivyo kuendelea.
Hivyo, wito ni wa wazi na wenye uzito: haki lazima itendeke bila upendeleo. Ikiwa kuna mtu anayehusishwa na vitendo hivi, kama DAMARU, basi arejeshwe mbele ya jamii na Familia yake.
Bila hatua thabiti na za dhati, kivuli cha utekaji na upotezaji wa watu kitaendelea kuitanda jamii kwa muda mrefu zaidi.
HAKI ,UKWELI NA UWAJIBIKAJI Vitaliponya Taifa.
BAK MWABUKUSI.