Wapimeni viongozi katika Busara,Maono na Utulivu walionao hii itasaidia kutatua changamoto pasipo athariโ, uhusiano wake na watu asiye na Matabaka โ . (2) Wale ambao ni messenger, wenye sifa nyingi ,majigambo na uhtaji wa watu kwa nia ya kura Hawa hawatufai TUSIWACHAGUE ๐ฎ
@IssaKalenge Daaaah brother umeongea kwa uchungu Sanaa na hapa ndo tunafeli CR7 aliwahi sema getting the right women is like printing ur own money ๐๐
Unamkumbuka yule she ulikua ukimfukuzia first semester pale campus anakujibu yupo na mahusiano mengine serious na mpaka sasa hajaolewa/nikama yupo tu Wana mplay mpo nae kazin mwaka wa pili ๐๐๐๐
"Tumeongea na Katibu Mkuu wa CCM kuhusu malengo yetu ya kiuchumi ya muda mfupi na muda mrefu na ametueleza malengo ya maendeleo ya Tanzania kwa mwaka 2021-2025 na 2021-2030, tumepata kufahamiana vema kila mmoja wetu na sasa ushirikiano wetu utaimarika zaidi." Balozi Wang Ke