@MarekaMalili Wanaume mna kiburi. Hamna hofu ya Mungu. Acheni ubabe mrudieni Mungu naye atawarudishia ukuu aliowapa mwanzo.
Ni kazi ngumu sana kuhudumia familia na michepuko, ni ngumu zaidi kuificha michepuko mitano mke asiijue๐๐
Ni mbaya zaidi kumsaliti mkeo mwaminifu
@Ceras75063085 @raphael_isman@Aduiwayanga Waume wanataka wake wawe kama wa miaka ya zamani lakini wao hawawezi hata nukta kuwa kama waume wa zamani. Miaka ya nyuma mme akijua mimba si yake, hafanyi fujo. Anachojua yule mtoto ni wa kwake. So mtia mimba asisogeze pua. Siku hizi kuuana km vile yy msafi