@fadhilikangusi na kwanini shule mitihani inatungwa hadi yale maswali usiyoyajua na walimu wanajua kuna wanafunzi watakosa(wata fail) na kuna wengine watayapata (watafaulu)?
@francismtey ili kiti cha enzi kiweze kukaliwa na โphysical bodyโ nacho kinatakiwa kiwe na โphysical bodyโ je ni nani alisema kiti cha enzi ni kama hivi tunavyokalia sisi ambavyo akili zetu zinavijua ni physical ๐?
@ReganTesha_ @ZachariaFilimbi upo sahihi kuuliza., mara nyingi ujinga unaonekana kwenye majibu sio kwenye swali (ujinga ni kutokujua) , huenda ni kweli haujui na unahitaji kujua(wakati huo unakua sio mjinga), ila unaohisi wanajua ndio wanakujibu kijinga ๐
@singelizabongo@fbuyobe ๐., ili taarifa iwe na mashiko lazima mwanajeshi atajwe. Ingawa hakuna juhudi yake(kamanda) ya wazi kuzuia dogo asikamatwe ikionekana.
@Gloryglory27 shikilia hapo hapo, Na hilo ndio jukumu mama la asili la mwanamke. Sir God ni mwema . Maisha yatakufikisha hapo unapopapenda, upambanaji wa mwanamke unatakiwa uwe ni nyumbani.
@AnethSissya anagalia uwiano kati ya polisi wakike na wakiume kwenye muundo wa polisi wa kuzuia ghasia , utajua idadi kubwa ya waandamanaji inatakiwa iwe ni watu
wa jinsia gani., wingi wa wanawake kwenye maandamano sio tija ๐
@20qnana @AnethSissya@fatma_karume mwanaume 1 akiungana na wanawake 10 kuharibu kazi., atakae thibitiwa hapo kwa nguvu kubwa ni huyo mwanaume mmoja ๐