@HildaNewton21 Napenda jinsi uko committed kwa chadema. Lakini jitahidi sana kutunza maneno kidogo. Maisha ni safari ndefu sqna. Usiwafharau na kuwabeza wengine, kuwa na akiba kiasi
@millardayo You're not a source that I trust
I sometimes have a look but because you're a government agent, it at times gives me difficulties. Hope it's all fine
@ChiefLumanyika Naona team tundu lissu kukiwasha imeshindikana, mlimsingizia mzee mbowe kwamba watu wanapotea na kuuwawa. Na mtafanya maandamano kuzuia haya. Leo ni yale yale hahahaha
@DrCyrilo Maisha ya hisia. Yaani binadamu, hata sijui wakoje. mtu mzima na familia yake kabisa anakuwa kazi yake kuwaza maisha ya mwenzake atafanya nini. Aibu hizi jamani basi tu