@SportsarenatzTz Mbona mnafanya kazi ya kupangia Viongozi wa Simba cha kufanya? Tutajieni basi Club yoyo yenye uongozi Bora iko juu ya Simba kwa Ubora Africa, mnatumika kuivuruga Simba, kwani mnaajiriwa kwaajiri ya kuisema Simba tu? Tafuteni habari
@FKihamu Wewe kama nani, Mwanachama au, kama sio Mwanachama basi umepewa kazi ya kuchochea Vurugu Simba, hizo % umezipata wapi za wachezaji wa kigeni kuferi Simba, acheni Simba viongozi wafanye kazi yao, iko nafasi ya 7 Afrika, Tanzania hakuna Timu inaifikia,
@earadiofm ππππhata nashindwa niandike nini, ukiona mtu anatukana wenzie wote lazima ujiulize kama yuko sawasawa kichwani, na hiyo studio inayomwita kila siku inatakiwa kinitathmini, huwezi rubusu Mtu kutukana watu bado mkaendelea kumwita, inaonekana mnatumika pia kwenye hili.
@ikulumawasliano@venusnyota Mimi kama Chifu wa Buigili Wilaya ya Chamwino Mkoa wa Dodoma, napongeza sana Mtandao huu wa Ikulu kuweza kupist Machifu, Asante sana, tunaahidi tutoa ushirikiano
@KumbushoDawson Hii Nchi ni huru, Kila Mtanzania anajua lipi jema na lipi baya, kejeli kwa wengine hazijengi, Viongozi wa huu Utamaduni wa Mtanzania ni Machifu, kwa sababu mmeathirika na tamaduni za Watu, zenu mnazioma Takataka, tunarudi sasa wenyewe kuzifanyia kazi.
@TweetByThapz@gnont Ooo my god, this street vendor has dropped their shoes in my Car, let me go there, stupid people πππππππ€£π€£π€£π€£
@ze_mandevu@heisbixen Kuna habari ya Simba kushindania kushiriki mashindano ya Dunia ya Vilabu umeona??????? Unaleta mada za ajabu, roho zinawauna sio, uchawa wenu pelekeni huko