@kisinga_v Achana na huyu Mukuru ametumia v30 tangu itoke ana upgrade ikiwa practically new haijachezewa games battery Ina hold charge aaaa watu hawajui mambo ya tech wanafaa wanyamaze them Chinese makers wamekua mboka na hizi simu zao nangoja oneplus 16 niikwachue kwanza
@ke_lekish@Dreymwangi Wewe ulibuy simu juu ya jina the processor on that phone snapdragon 8 gen 1 ilikua na shida ya overheating juu ilikua imetengenezwa na Samsung so simu zote za 8 gen 1 Zina over heat ka nonesense
Tickets already being the amount of money you'd get paid only after having butt sex with a mzungu then also there's a booking fee??? Gondwana can we get serious kidogo.