@godbless_lema Chadema haitaa kaaa ife siongei kwa ushabiki na ni kwa sababu inasema ukweli na ukweli hua una tabia ya kua referenced waangalieni kina malcom X leo ni icon ya ukombozi wa mtu mweusi America
@AbroadTanzania Pamoja na comment zote ila niwaambieni tuu ukweli hamuijui Nguvu ya Israel and capabilities zake mnaoona Israel ni nchi ndogo lakini Israel wana technology kubwa sana na ndio wanauza duniani kote believe it or not