Anaitwa JORDAN ANDREW LEMA (LEWIS) mwenye umri wa Miaka 24, anatafutwa (KAW/RB/2485/2024) amepotea tangu Jumamosi tarehe 15/06/2024. Mara ya mwisho alienda kariakoo kwenye maduka ya simu. Kwa sasa anaishi Tegeta namanga. Tunaomba aliye na taarifa zake au atakayemwona atoe taarifa kituo chochote cha Polisi kilicho karibu au kwa kupiga namba:
0685 499198
0754 426868
0655 406650
0762 127474
Tunaomba ushirikiano wenu wa kumpata ndugu Yetu. 🙏🙏