๐Mtumba, Dodoma
Ujenzi wa Maabara Kuu ya Kilimo unatarajiwa kugharimu pesa za Kitanzania Shilingi Bilioni 16, Na itakapokamilika, maabara hii itatoa huduma za utafiti na vipimo vya kilimo kwa mikoa ya nyanda za kati na yanayozunguka.
Hii yote ni katika kuhakikisha tunaleta mapinduzi ya kiteknolojia na utaalam kuongeza uzalishaji wenye tija kwenye kilimo.
#Agenda1030
Kazi Iendelee
Akiongea katika mkutano wa usalama huko Ujerumani, Rais wa DR Congo,Felix Tshisekedi amepinga uwezekano wa kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na M23 akieleza kuwa kikundi hiki ni cha kigaidi.
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa Wizara hiyo kutafuta namna ambayo itapunguza foleni mijini ikiwemo kufikiria namna ya kutumia barabara za mwendokasi kupunguza foleni.
TANZANIA TANZANIA TANZANIA๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
When the basics are right , everything falls in place๐
The quality of the Tanzanian league and how good the clubs perform in continental competitions just showed in their qualificationโค๏ธ