Leo ni siku 19 tangu ndugu yetu Twaha Mwaipaya atekwe na watu wasiojulikana mpaka sasa bado hatujui kapelekwa wapi.
Tuendelee kumpazia sauti kama ambavyo yeye alikuwa mstari wa mbele kuwapazia sauti watu wasiokuwa na sauti.
#FreeTwahaMwaipaya
@HildaNewton21 Hakuna mahakama Tz majaji ni WA Samia.Mtu anahukumiwa kwa kesi ambayo hajashtakiwa nayo.Napata hofu kwa miaka4 hii kama itapota salama😭😭😭