"Taifa lenye vijana wanaogombana kutokana na utofauti wa vyama vyao vya siasa ni taifa lililokufa kwani ni mtaji kwa viongozi wasiowajibika"
Kapteni Ibrahim Ibrahim Traore,
Rais wa mpito wa Burkina Faso.
@FKihamu Dear Mwalimu, utekaji imekuwa ni desturi na serikali inajibu ni drama. Dear Mwalimu, huyu aliyeandika naye kaandika kinafiki sana, ila ukweli ni kwamba huku hali si shwari katika nyanja zote
@IAMartin_ Ushauri wa bureee, kila mtu atembee na silaha anayoijua yeye anaweza kujitetea endapo litamkuta jambo. Hii nchi imeoza na watawala wapo kimya. Tunaambiwa ni drama.
@millardayo@ayotv_ Ushauri wa bureee, kila mtu atembee na silaha anayoijua yeye anaweza kujitetea endapo litamkuta jambo. Hii nchi imeoza na watawala wapo kimya. Tunaambiwa ni drama.