#HIVIPUNDE: Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea (CUF) ametangaza kujiuzulu ubunge na nafasi zake za uongozi ndani ya chama hicho. Akitoa tamko hilo leo bungeni, Mtolea amesema, kwa muda mrefu sasa ndani ya chama hicho kumekuwa na mgogoro usiokwisha.
Tatizo letu sisi WATANZANIA ni wanafiki mno.....
Hapa MAGUFULI anachotakiwa kufanya NI KUTEKELEZA achokiamini ni sawa kwa TAIFA hili atakae MHUKUMU NI MWENYEZI MUNGU PEKEE.....maana hata WANAOMSHUTUMU NI WACHAFU KUPITA MAGUFULI
Kila machweo ni baraka nyingine kutoka kwa mungu. Sio kama wewe ni mbora au muhimu sana kushinda wengine bali mungu anakupa nafasi nyingine ya kumtumikia na kuifanya dunia mahali salama. Uwe na siku njema yenye baraka na mafanikio katika kutafuta riziki yako kwa njia ya halali.