#LSDO,inatoa pole kwa Mh.#RaisSamia kufatia kifo cha liyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Elias John Kuandikwa.tunatoa pole kwa familia, Jeshi, Bunge na wananchi wa Jimbo la Ushetu. Mungu awe Mfariji, Amina
@SuluhuSamia 2."Yaliyopita si ndwele tugange yajayo" wahenga walisema
Naamini kuwa UHURU🇰🇪+SULUHU🇹🇿 =UHURU wa SULUHU,umoja wetu kila nyanja utaimalika zaidi sasa
RaisUhuru,tumempatia Dada yake Rais Suluhu,tulijua mkikaa muyajenge mtakuja na matokeo+ ya kibiashara
Karibu sana comfort Samia
@SuluhuSamia 1.Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassani kwa niaba ya Watanzania, tunakushukuru kwa kutufikia salaam zetu mubashara kwa Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya kwa niaba ya wakenya Mh.Uhuru Muigai Kenyatta kuwa sisi ni kitu kimoja utofauti ni mipaka ya nchi
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo" wahenga walisema
Naamini kuwa UHURU🇰🇪+SULUHU🇹🇿 =UHURU wa SULUHU,umoja wetu kila nyanja utaimalika zaidi.
Rais Uhuru,tumekuletea Dada yako Rais Suluhu,kaaeni muyajenge mtu na dada yake tena! tunamatumaini makubwa sana.
Kila lakheri.
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassani kwa niaba ya Watanzania,tufikishie salaam zetu mubashara kwa Rais wa Jamuhuri ya Watu wa Kenya kwa niaba ya wakenya, Mh.Uhuru Muigai Kenyatta kuwa, sisi ni kitu kimoja utofauti ni mipaka ya kiutawala, tu.
@SuluhuSamia Mh.Samia Suluhu Hassani, Rais wa Awamu ya Sita, Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi na vyombo vyote vya ulinzi na usalama Tanzania
Binafsi na kupongeza kwa Hotuba iliyo jaa ueledi,unyenyekevu na matumaini kwa wafanyakazi wa JMT
Naamini yote uliyo ahidi yatatekelezwa
KAZI IENDELEE!
@SuluhuSamia 🇹🇿Nakupenda,Mhishimiwa sana,mama yetu Samia Suluhu Hasani & Rais wetu kipenzi, Mungu akupe wepesi katika nafasi mpya hiyo uliochaguliwa.
NANI KAMA MH,SAMIA MWANAMKE WA 1 KUWA MWENYEKITI WA CCM.
🇹🇿NINA IMANI NA WEWE UTAKUWA SULUHU WA KILA JAMBO KAMA JINA LAKO
🇹🇿KAZI IENDELEE
🇹🇿#MUNYENYUE KIELIMU
watoto wa kike mkombozi wake ni elimu atakayo pewa na Familia /Jamii yake.
🇹🇿Urithi Pekee wa mtoto wa kike ni Elimu tupunguze mitazamo hasi #Munyenyuekielimu.
🇹🇿 Tulikuwa tunapiga stori na watoto wakike ambao wanapewa elimu vizuri, wanasema kwa kujiamini.
🇹🇿Katika #KUMNYENYUA msichana inahitajika hali ya mguso, huruma na Upendo we are all humanbeing,tusiumizane katika jamii zetu.
🇹🇿Tusiweze kuwatesa,tusiwabague,tusiwakatili wanawakike wanalia,kama wapweke.
🇹🇿#MNYENYUE kwa kumpa elimu bora,malazi bora na mavazi bora.
#MNYENYUE
🇹🇿MUNYENYUE!
watoto wakike katika jamii zetu baado anakabiliwa na changamoto za kiukatili.
🇹🇿Si,wanajamii ni wajibu wetu kuwalinda, kuwatetea na kuwakinga na mabaya yote.
🇹🇿 Katika wiki hii ungana nasi kupitia majukwaa yetu tutazungumzia, girls's challenge #MUNYENYUE
🇹🇿Kusoma kwa bidii,ni mkombozi wa ukatili wa kijinsia katika jamii nyingi.
🇹🇿Watoto wa kike ukipata fursa kidogo haijalishi ni mazingira magumu kiasi gani?Soma kwa bidii ujikomboe na minyororo kandamizi iliyokithiri katika jamii yako
🇹🇿Soma kwa bidii ng'oa mnyororo wa ukatili
Uongozi wa Taasisi ya #LifeSolutionandDevelopmentOrganization.Umepokea kwa majonzi makubwa,kifo cha Mh.Dkt John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunaungana na Watanzania,Familia,Ndugu Jamaa na Marafiki kwa msiba huu mzito.
Buriani Ndg Dr.Magufuli.
Kuendesha taasisi, kunahitaji mikorogomikorogo na michanganyomichanganyo, mingi ili kupata radhi maridhawa,weke chumvi (credibility),ubunifu (creative),ugunduzi (Discovery),kuendeleza (suistainable
BIDEN FIRST PATRIOTIC
BIDEN FIRST PATRIOTIC
BIDEN FIRST PATRIOTIC
BIDEN FIRST PATRIOTIC
BIDE FIRST PATRIOTIC
BIDEN FIRST PATRIOTIC
BIDEN FIRST PATRIOTIC
BIDEN FIRST PATRIOTIC
BIDEN FIRST PATRIOTIC
IN US.
@KamalaHarris@BarackObama@MichelleObama@realDonaldTrump@BBCWorld