Washa panic hawa 🚮
We mzee Wasira - Tanganyika si nchi mpya
Kati ya Tanganyika na Tanzania ipi ilikuwepo kabla?
+255 ni ya Tanganyika
+259 ya Zanzibar
Sasa mkataka kuiua Tanganyika na kuipa mambo yake yote muungano ili muinyonye sasa tumegoma!
Sisi tunaitaka irudi Tanganyika alafu Tanzania itaomba + ya kwake!
Mtatutelewa tu hamna namna 👊🏽
Tanganyika LAZIMA na hatutaki serikali ya umoja wa kitaifa kama Zanzibar mtaridhiana huko huko not Tanganyika
Nasema #TutaelewanaTu
Mwigulu ameshalikoroga , Abdul anataka kula kichwa hapo,
Mwaipopo anatoka vipi kulalamika ametumiwa message halafu ina namba za Mwigulu ? kwamba leo hii mtu akikutumia message na kutaja namba za mtu mwingine kwamba check hizo namba ndio mimi wakati amekutumia kwa namba tofauti,
Kisha unaibuka kuongea na vyombo vya habari ? Mwaipopo mwenyewe ni bingwa wa kutuma Message za vitisho, sasa leo anaogopa nini wakati nina Audio zake kibao akitishia watu?
Hii ya Mwigulu wao wamshughulikia tu, si alifikia kwamba Hawa Wazanzibari ni wenzake, akaanza kushare siri zake za yule jamaa rafiki ya Shoo.
Sasa wamesha mchoma mipango yake yote Abdul anaijua, Hiyo network yake ya KKKT na hao Maaskofu ndio wamemchoma vizuri tu, lazima kimlambe, huyo Mbilu ulimuona ni mtu salama yule ?
wenzio wamepewa tenda za TANESCO halafu unawaambia kwamba unataka uraisi wa LUTHERANI ukaamini kabisa mko serious kwenye hiyo game yenu?
Hiyo kutamba kwamba unajua siri za Abdul na Mama yake ndio sababu kinakwenda kukulamba, wenzako wameshafika bei wamekuchoma
Ukisikia ccm ni ile ile uelewe!!! Hii Katiba inaongelewa kubadilishwa zaidi ya miaka kumi na hakuna matokeo !!!
Kama walivoshindwa kutekeleza mambo mengi mengine ndo
wanavovofeli kutekeleza hili la katiba.
Tukipata katiba .,barabara zitapatikana, maji yatapatikana umeme nk!!!
Hey @grok I think you should revise this headline - Tanzanians' reaction to this news is not mourning only - read the comments in Kiswahili and English as well - it is a mixed reaction and follow up why they say "kifo ni kifo" as reaction
Thank you
https://t.co/GIk1pVGsgH