"Ukitaka kumjua mtu anayestahiki kuishi ndani ya moyo wako, basi angalia ni nani anayekufanya uyaone maisha kuwa ni mazuri, licha ya ugumu wake." ~Togolani Mavura.
Single Mama;
Hawanaga time ya kupoteza wako busy na familia kwanza then maokoto, kuhusu mapenzi badayeee, ukitaka upendwe unavyotaka na single mama usiwe na haraka utakuja kunishukuru.#SiyokwaUbaya✍️
POMBE;⛔
hufika kwenye ubongo ndani ya dk 3 na huanza kuathiri ubongo ndani ya dk 10. Baada ya dk 20 Ini huanza kusindika pombe, ini linaweza kubadilisha aunsi 1 ya pombe kila saa. Kiwango cha pombe ktk damu cha kawaida 0.08, pombe hukaa kwnenye mkojo saa 80. 🔞
Jumapili ya Mei 11, 1980, Tanzania ilipompoteza waziri wake, Hussein Shekilango, katika ajali ya ndege iliyotokea Arusha.
miaka 44 imepita tangu Shekilango afariki ambaye jina lake la barabara maarufu ya Shekilango iliyopo Sinza, Dar es Salaam, lilitajwa kwa heshima yake.
Kenya ;
Madaktari wa hospitali za umma nchini Kenya Jumatano walitia saini makubaliano ya kurejea kazini na serikali yaliyonuiwa kusitisha mgomo ulioanza katikati ya mwezi Machi, maafisa wa muungano na serikali walisema.
@iamsalumally Mwanaume huwa halii kirahisi ukibahatika kuina chozi la mwanaume katika mazingira yoyote, jipge kifua maana siku zote shujaa huwanza kubeba thamani ya wengine kabla ya thamani yake.
@Drkabuje @Dream99chaser@DullahTheking2@kapeto98@OriginoZee17@ze_mandevu@MissChelsea1221 @Master_plan88 @Dr_salumu Amueuliwa Kwa sababu
-umbali wakiti na damu za ukutani inaonyesha kabisa alikuwa ktk kulukushani ya kujiokoa lakin pia baada ya yeye kukundua alipiga yule mtu kifua ni Sasa wakati akitaguta pakwenda yule mtu akambana na kumshuti sbb bastola ya huyu bint ukiisha risasi daahh
Ukraine imewakamata maafisa wawili katika shirika linalohusika na kuwalinda viongozi wakuu wa serikali na kuwashutumu kwa kuendeleza njama ya kumuua Rais Volodymyr Zelensky na maafisa wengine wakuu wa Ukraine.
Vita ziko za aina nyingi ukiacha vita ya mstuni na navita zingine.
Wakati unapambana na vita ya kujikwamua kiuchumi kuna mtu anapigana vita kumpenda mtoto wa mtu ambaye pia alishamwambia hampendi lakin Bado anamfatilia,
Endelea na vita yako.#SiyoKwaUbaya✍️