@PMadeleka Nani amekuruhusu ku-control furaha au huzuni za watu? narudia kusema, mtu ukishakuwa Polisi wa Tz hata uache uwe padre kanisani bado utaahira wa upolisi utakuandama.Wewe una legal ground ipi ya kupangia hisia za watu?
@MsigwaPeter Pamoja na essay yako ndefu ambayo kiuhalisia sijaisoma,Ila petro hukuwa na sababu yoyote ya kutaja jina la mwalimu Nyerere.Usirudie tafafhali
@Oktoba29 mfumo umezongwa na elimu mabalimbali.Mwamba akihojiwa huwa hajipi muda wa kutafakari 😁 swali halijaisha tayari kichwani kwake alisha anza ku process, matokeo yake anaropoka hadi unajiuliza hii anajibu bwana mkubwa ni nn!😄😄
@ze_mandevu Hii misheni ya kwenda mwezini na kurudi tumeikataa.Ila kuguswa bega na kupoteza mboo tumekubali na sasa tunavaa vipini-kingaka wasenge😄.
Nchi hii ndio maana kizimkazi anatuchezea ndombolo ya solo anavyotaka wallah😆
@Thommunkondya unafikiri CAG anasoma hiyo ripoti kwakuwa amekula ugali mlenda akafurahi akaamua aje kuisoma? Au unafikiri Samuya ndio kamuagiza aje kusoma ili atufurahishe? Unajua kama report hiyo kusomwa ni Takwa la kikatiba?! ndiomana tunasema
Mtaji mkubwa wa CCM ni VIJANA na WAZEE Wapumbavu