Official Account of The Dr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations TANZANIA -Ukurasa Rasmi wa Kituo Cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim
MHE. BALOZI KOMBO (MB) AMEZINDUA BARAZA LA UONGOZI - CFR
----------------------
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki , Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb) amezindua Baraza la Uongozi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim.
Hafla hii imefanyika katika ukumbi wa JNICC.
Baraza la Uongozi wa Kituo linaundwa na Mwenyekiti na Wajumbe ambao ni:-
1. Balozi Ramadhani Muombwa Mwinyi - Mwenyekiti
2. Wajumbe wa Baraza ni hawa wafuatao.
i) Balozi Dkt. Ramadhan Dau - Mjumbe
Balozi Abdallah Abbas Kilima leo 4 Juni 2025 atatoa Mhadhara wa Kibalozi kwa Wanajumuiya, Wanataaluma na Wanafunzi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim ( CFR).
Mheshimiwa Balozi Kilima, atawasilisha mada kuhusu Siasa za Kimataifa
Hafla imefanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam. Sera ya Mambo ya Nje imelenga kuimarisha Diplomasia na Maslahi ya Tanzania.
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMEZINDUA SERA YA MAMBO YA NJE YA MWAKA 2001(TOLEO LA MWAKA 2024)
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amezindua Sera ya Mambo ya Nje ya mwaka 2001(Toleo la mwaka 2024).
CFR na CMI zimesaini Hati ya Makubaliano ya Mashirikiano (MoU)
Dkt. Felix Wandwe, ndc Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim (CFR) na Balozi Jaane Taalas, Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Amani ya Martti Ahtisaari (CMI)
wamesaini Hati ya Mashirikiano (MoU) kuhusu kushirikiana kwa pamoja katika kuwajengea uwezo watumishi wa CFR na Watanzania kwa ujumla katika masuala ya diplomasia, ulinzi wa amani, upatanishi na utatuzi wa migogoro.
TANZIA:
Mwanafunzi wa mwaka wa pili (BACH 2)- kozi ya Uhusiano wa Kimataifa na Diplomasia ( IRD), MONICA LYIMO amefariki dunia, mazishi yanatarajiwa kufanyika Masaera Himo Moshi, siku ya Jumamosi tarehe 26 Aprili 2025.
Dr. Jacob G. Nduye, Acting Director, Dr. Salim Ahmed Salim Centre for Foreign Relations (CFR) today- hosted the Finland Ambassador to Tanzania, Her Excellency Theresa Zitting.
The discussion were centred on cooperation and partnerships for mutual benefits of both parties.
SIKU YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 53 YA KIFO CHA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI, SHEIKH ABEID AMANI KARUME. (1905 - 1972)
KARUME DAY