@Mwabuk2Boniface Hata tukisema hauna chama lakin sizan kama utakua sahii kumtamkia mtu maneno ya baraka ambae hatoweza kubadiri chochote kwenye uongozi wake
English—No reforms, no election
Italian—Nessuna riforma, nessuna elezione
German—Keine Reformen, keine Wahlen
French—Pas de réformes, pas d'élections
Russian—Net reform, net vyborov
Swahili—Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi
Arabic—لا إصلاحات، لا انتخابا[ت
#TajiriLaKihaya
Kwa hio Timu za Mpira kuingia Kariakoo zaidi ya masaa 4+…
Kusimamisha shughuli za kibiashara na hata kufunga barabara rukhsa…
Ila CHADEMA wakiomba kibali cha hata Nusu saa pale pembezon tu- Hawaruhusiwi??
Haya…