@Maestrowafact Changamoto pia jkt haina uwezo wa ku accommodate wanafunzi wote wanaochaguliwa kuingia vyuoni hivyo kila mwaka huchukua tuu wachache na ndo maana wengi wa room ya kukacha haya mafunzo mm Nadhani wangegawa waweze kuchukua nusu mwanzoni na mwaka wa mwisho wachukue wanaobaki
@TOTTechs@bajabiri Halmashauri hawalipi na wanaomba rushwa waziwaz ukiwanyima hawakulipi kabisa mm nadai kinondoni tokea 2023 paka leo wamegoma kulipa na ni mtandao Mpana sana
@ItsKamala Waganda wamethaminisha hata soko la ndizi I happened to be in murongo and saw gari za Uganda zikiingia everyday kuchukua ndizi. Hizi wilaya mbili za karagwe na kyerwa zikifanyiwa mkakati maalaum hasa ya miundombinu zitasonga sana kiuchumi
@Wakazi Watoto wa elf 2 hawana heshima hawajui juma alikuwa anajaza Dimond jubilee kipindi hakuna instagram wala Facebook ukipita mitaani zinalia ngoma zake tuu na hamna promo